Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hispaniola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hispaniola

Hispaniola (kutoka matamshi yaKilatini yajina laKihispania "La Española" = "cha Kihispania") nikisiwa kikubwa cha pili katikaKaribi kikiwa na eneo lakm² 74,700.

Iko kati yaKuba upande wamagharibi naPuerto Rico upande wamashariki.

Hispaniola huhesabiwa kati ya visiwa vyaAntili Kubwa. Ni kile chenye watu wengi zaidi katikaAmerika, na cha kumiduniani.

Mashariki mwa kisiwa yalitawaliwa naHispania kamakoloni la Santo Domingo, ilhaliWafaransa walianzisha koloni lao upande wa magharibi wa kisiwa kwa jina la Saint Domingue.

Hivyo leo kisiwani kuna nchi huru mbili:Haiti upande wamagharibi naJamhuri ya Dominikana upande wamashariki.

NchiWakazi
(2005-07-01 kadirio)
Eneo
(km²)
Msongamano
wa watu(kwa km²)
Haiti9,996,73127,750350.27
Jamhuri ya Dominikana9,445,28148,730197
Kisiwa chote19,442,01276,480254.21

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo yaBahari ya Karibi bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuHispaniola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hispaniola&oldid=1328665"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp