Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hiroshi Amano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Hiroshi Amano
Hiroshi Amano
Amezaliwa11 Septemba,1960
Kazi yakemwanafizikia kutoka nchi yaJapani


Hiroshi Amano (amezaliwa11 Septemba,1960) ni mwanafizikia kutoka nchi yaJapani. Hasa amechunguza dutu za nusu kipitishi na kubunidiodi ya kutoanuru. Mwaka wa2014, pamoja naIsamu Akasaki naShuji Nakamura, alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi waTuzo ya Nobel bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuHiroshi Amano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hiroshi_Amano&oldid=1308508"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp