Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hirohito wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Mkuu Hirohito, mwaka wa1926

Hirohito (29 Aprili19017 Januari1989) alikuwamfalme mkuu wa 124 (Tenno) waJapani. Alimrithibaba yakeYoshihito tarehe25 Desemba1926 na kuwa mfalme hadikifo chake. Aliyemfuata nimwanayeAkihito.

Ingawa alijulikana sana nje yaJapan kwajina lake laHirohito(裕仁?) kwaKijapani, kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina laShōwa.[1]

NenoShōwa linamaanishamtu mkarimu; ni jina la nyakati za Kijapani zilizoambatana na watawala wa nchi hiyo walioitwa Matenno waJapani .

Maisha yake

[hariri |hariri chanzo]

Hironito alizaliwa katikaikulu yaTokyo (wakati wa utawala wababu yakeMeiji).Baba yake aliitwaYoshinito ambaye jina la utawala lake aliitwaTaishō) namama yake aliitwaSadako ambaye jina lake la utawala aliitwaTeimei.

Mwanzoni mwautawala wake,Japan tayari ilikuwa moja kati yamataifa yenye nguvuduniani na ilikuwa nchi yatisa kwamaendeleo yauchumi duniani na moja kati ya nchi nne wanachama wa kudumu waShirikisho la Mataifa ambalo lilikuwa shirikisho tangulizi la yaUmoja wa Mataifa.[2]

Angalia pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Northedge, Frederick S. (1986).The League of Nations: Its Life and Times, 1920–1946. New York: Holmes & Meier. ku. 42–48.ISBN 978-0841910652.
  2. Ponsonby-Fane, Richard. (1959).The Imperial House of Japan, p. 337.
Makala hii kuhusuKaizari fulani waJapani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuHirohito wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hirohito_wa_Japani&oldid=1219942"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp