Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Herodoti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Herodoti wa Halikarnassos.

Herodoti wa Halikarnassos (kwaKigiriki Ἡρόδοτος Ἁλικαρνᾱσσεύς,hēródotos halikarnāsséus;484 KK -425 KK) alikuwamwandishi wahistoria wakati waUgiriki ya Kale.

Maisha

[hariri |hariri chanzo]

Alikuwa mwenyeji wamji waHalikarnassos katikaAsia Ndogo (Uturuki ya leo) akasafiri baadaye na kutembelea nchi nyingi, kame vileItalia,Bahari Nyeusi naMisri. Alikusanyahabari nyingi kutoka kwa watu wengine pia.

Maandishi

[hariri |hariri chanzo]

Herodoti ni maarufu kwa sababu alikusanya habari nyingi za historia ya kale yamataifa yaAsia,Afrika naUlaya.Waroma wa Kale walimwona kama "Baba wa historia".

Sehemu kubwa yamaandishi yake yamepotea; yanajulikana tu kwa sababu yanatajwa katikavitabu vingine vya kale. Lakini historia yake yavita kati ya Wagiriki naWajemi wakati wakarne ya 5 na6 KK imehifadhiwa.

Kwa jumla hatawataalamu wa leo hutegemea mara nyingi habari zilizokusanywa na Herodoti juu yaBabeli,Misri,Uajemi na Ugiriki ya Kale.

Vyanzo

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuHerodoti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Historia portal
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Herodoti&oldid=1135910"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp