Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hermoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

33°24′58″N35°51′27″E / 33.41611°N 35.85750°E /33.41611; 35.85750

Mlima Hermoni kutoka mbali.

Hermoni (kwaKiarabu:جبل الشيخ,jabal-ash-Shaikh, yaani "mlima wa shehe"; kwaKiebrania: הר חרמון‎‎, Har Hermon) nimlima waSiria naLebanoni ulio mrefu kuliko yote ya safu yaLebanoni Ndogo na ya Siria nzima, ukiwa nakimo cham 2,814juu ya UB.

Kileleni kunatheluji ya kudumu na nichanzo chamto Yordani.

Unatajwa katikaBiblia (Zaburi 42; 133:3;Wimbo Ulio Bora 4:8).

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hermoni&oldid=1019993"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp