Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hereni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mama Maasai akivaa hereni
Aina za hereni dukani

Hereni ni mapambo yanayovaliwa masikioni.

Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zatengenezwa kwametali lakini pia kwa kutumia ubao, mfupa aukioo pamoja navito aululu.

Tamaduni zatofautiana kama hereni huvaliwa zaidi nawanawake, wanaume aujinsia zote mbili.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hereni&oldid=1310575"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp