Hereheretue
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Hereheretue ni kisiwa chaPolinesia ya Kifaransa ndani yafunguvisiwa yaTuamotu. Kiko upande wa kaskazini-magharibi wa kisiwa chaAnuanuraro. Eneo la kisiwa ni 4km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Otetou. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 56. Watu wakaao kisiwani kwa Hereheretue huongeaKituamotu naKitahiti.
![]() | Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
|