Hatimiliki
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Hatimiliki (kutokamaneno yaKiarabu; kwaKiingereza:title deed,deed au zamanievidence[1]) nihati yoyote inayothibitisha kuwamtu anahaki juu yakitu fulani kamammiliki wake au kwa namna nyingine yoyote. Mara nyingi ni hati inayothibitisha haki juu ya sehemu yaardhi aukiwanja.
Umbo la hati hutegemeasheria za nchi mbalimbali.[2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuHatimiliki kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |