Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hasina Wazed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hasina Wazed (kwaKibengali: হাসিনা ওয়াজেদ; anajulikana pia kwajina lake landoaHasina Wazed; amezaliwa28 Septemba1947) nimwanasiasa waBangladesh ambaye aliwahi kuwaWaziri Mkuu wa kumi na kumi na mbili wa Bangladesh kuanzia Juni1996 hadi Julai2001, tena kuanzia Januari2009 hadi Agosti2024. Baada ya hapo awali kutumika kama Waziri Mkuu kwa miaka mitano, ndiye Waziri Mkuu aliyetumikia kwamuda mrefu zaidi katikahistoria ya Bangladesh.

Hasina Wazed nibinti yarais wa kwanza wa BangladeshMujibur Rahman, mkubwa wawatoto wake watano.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuHasina Wazed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hasina_Wazed&oldid=1392727"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp