Hans Nicolussi Caviglia (amezaliwa Juni 18, 2000) nimchezaji wasoka wataifa laItalia ambaye sasa anacheza kama kiungo katika klabu yaJuventus U23. Pia anacheza timu yaJuventus U19 katikaLigi ya Vijana ya mwaka2018-19 UEFA.
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuHans Nicolussi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |