Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hangul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hangul

Hangul nialfabeti yaKikorea. Iliundwa mnamo mwaka 1443 kwa amri ya mfalme Sejong alliyeona ya kwamba maandishi ya Kichina haifai kwa lugha yaKorea. NchiniKorea ya Kaskazini Hangul huitwa Chosŏn'gŭl.

Hangul ina alama za kimsingi 24 kwakonsonanti navokali. Lakini alama hizi haziandikwi mfululizo kama kaika alfabeti ya Kilatinilakini zinapangwa katika alama za herufi za silabi moja kama 한han.

Hiyo 한han inaonekana kama alama 1 lakini ali halisi ni herufi tatu: ㅎh, ㅏa na ㄴn. Kila alama kwa silabi inashika ndani yake herufi 2 hadi 6. Alama za silab zinaweza kuandikwa kama mstari kuanzia kushoto kwenda kulia au kutoka juu kwenda chini, kama maandishi ya Kichina.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hangul&oldid=941631"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp