Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hades

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hades
Sanamu ya Hade na mbwa mwenye vichwa vitatu Serbero
Mfalme wa Kuzimu
Mungu wa Waliokufa
MakaoKuzimu
AlamaSerbero,Helmeti ya Giza,Muhuhu,Narsisi,Ufunguo wa Hade
MwenziPersefona
WazaziKrono naRea
NduguPoseidoni,Demetra,Hestia,Hera naZeu
WatotoMakaria,Melinoe,Zagreo naPlutu
Ulinganifu wa KirumiPluto,Dis Pater,Orcus
Ulinganifu wa KietruskiAita


Hades (Kigiriki cha Kale: ᾍδης,Hadēs; kutoka Ἅιδης,Haidēs au Άΐδης,Aidēs;Kidoriki: Ἀΐδας,Aidas) ni mungu wakuzimu na bwana wa waliokufa katikamitholojia ya Kigiriki. Analingana naPluto katika dini yaRoma ya Kale.[1]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Cartwright, Mark,"Hades",World History Encyclopedia, iliwekwa mnamo29 Juni 2015{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link).
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hades&oldid=1294174"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp