Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Gumawesi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gumawesi (basalt)
Nguzo asilia za gumawesi kwenyeHifadhi ya Kitaifa ya Yellowstone , Marekani.

Gumawesi(kwaKiingereza: basalt) nimwamba wa mgando wenyeranginyeusi-nyeusi.

Imetokana nalava kiowevu iliyotoka kwenyevolkeno na kupoa haraka. Gumawesi ni mwamba mgumu unaoweza kudumu muda mrefu.

Mawe ya gumawesi hutumiwa katikaujenzi wabarabara ama katikatabaka lakokoto chini ya uso wa njia au kama vibapa vinavyofanya uso wa njia. Karibu na volkeno za zamani penye gumawesi tele hutumiwa pia kwa ujenzi wanyumba navijiji aumiji katikamazingira hayo huwa na nyumba nyeusi.

Aina maalumu ya gumawesi huyeyushwakiwandani kwajoto kali na kupataumbo lanyuzi zinazotumiwa kufumamikeka ya kuzuiamoto katika utengenezaji wamagari aueropleni. Ni nyuzi mbadala kwaasbesto bila kuwa hatari kwaafya.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Search WikisourceWikisource has the text of the1911 Encyclopædia Britannica articleBasalt.
Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuGumawesi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Gumawesi&oldid=1253879"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp