Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Guadeloupe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guadeloupe,Ufaransa
Guadeloupe

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Ufaransa Ufaransa
Mji mkuuBasse-Terre
Eneo
 - Jumla1,628km²
Idadi ya wakazi (2016)
 - Wakazi kwa ujumla394,110
Tovuti:  http://www.cr-guadeloupe.fr/
Maeneo mweupe ni sehemu za Guadeloupe

Guadeloupe nieneo la ng'ambo namkoa (departement) waUfaransa katikaBahari ya Karibi lenye visiwa tisa vidogo. Hivyo ni sehemu yaUmoja wa Ulaya.

Makao makuu niBasse-Terre, ingawamji mkubwa niPointe-à-Pitre.

Wakazi asilia walikuwaWaindio.Utamaduni wao uliharibiwa kabisa kwa kuja kwaukoloni kutokaUlaya (1493).

Ilikuwakoloni laUfaransa halafu laUingereza halafu laUswidi halafu la Ufaransa tena.

Eneo lake nikm² 1,628.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Idadi ya wakazi ni 394,110.Asilimia 71 za wakazi ni wa asili yaAfrika au machotara. Wazee wao waliletwa huko kamawatumwa kwa ajili yakazi za mashamba yamiwa. 15% niWahindi, 9%Wazungu, 3%Wachina na 2%Waarabu.

Lugha rasmi niKifaransa, lakini wengi wanaongea piaKrioli.

Upande wadini, 80% niWakatoliki na 5%Waprotestanti.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
  • Martinique, eneo lingine la Ufaransa katika Bahari ya Karibi

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Search Wikibooks The WikibookGeography of France has a page on the topic of
Angalia mengine kuhusuGuadeloupe kwenye miradi mingine yaWikimedia:
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary
picha na media kutoka Commons
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity
nukuu kutoka Wikiquote
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource
vitabu kutoka Wikibooks

Serikali

[hariri |hariri chanzo]

Safari

[hariri |hariri chanzo]
Nchi huru
Kamili
Sehemu
Maeneo chini ya nchi nyingine
Udani
Ufaransa
Uholanzi
Ufalme wa Muungano
Marekani
Makala hii kuhusu maeneo yaBahari ya Karibi bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuGuadeloupe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Guadeloupe&oldid=1297136"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp