Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Grand Canyon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Grand Canyon.
Mtazamo mwingine wa Grand Canyon.

Grand Canyon nikorongo maarufu hukoArizona nchiniMarekani. Linaundwa naMto Colorado uliochimba tangu miakamilioni kadhaabonde lenyekina kirefu katikamiamba yanyanda za juu zaColorado.

Grand Canyon huwa naurefu wakm 446 naupana hadi km 29. Kuna sehemu ambako ina kina chamita 1830[1].

Imeandikishwa katika orodha yaUrithi wa Dunia yaUNESCO[2] ikiwa piaHifadhi ya Taifa yaMarekani.

Utalii

[hariri |hariri chanzo]
MiakaWageni[3]
kabla yaVita Kuu ya Pili> 100,000
1965Milioni 1.6
2000Milioni 4

Korongo hilo ni kati ya vivutio vikubwa kwawatalii nchini Marekani. Kilamwaka inatembelewa na wageni milioni kadhaa wanaofika kutoka ndani na nje ya nchi ya Marekani.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Kiver, E.P.; Harris, D.V. (1999).Geology of US Parklands. Wiley. uk. 902.
  2. UNESCO,"Grand Canyon National Park"; retrieved 2012-4-18
  3. Diercke 8. Besucherentwicklung im Grand Canyon Nationalpark.
Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuGrand Canyon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Grand_Canyon&oldid=1094123"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp