Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Granada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Majengo ya Granada.
Uwanja wa simba katika Alhambra mjini Granada.
Mlango wakanisa kuu la Granada.

Granada nimjikusini mwaHispania, kwenye jimbo laAndalusia. Kuna wakazi 233,000.

Uko miguuni pamilima yaSierra Nevada katikabonde lamito Genil na Darro inayokutana mjini.

Mji unamajengo mashuhuri sana, kama vileAlhambra namakanisa yake.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Kati ya miaka711 na1492 ilitawaliwa naWaarabu. Athira ya Kiarabu huonekana katika majengo yakihistoria hadi leo hii.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaHispania bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuGranada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Granada&oldid=1231722"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp