Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Gotland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa la Tofta katika Mji wa Gotland
Ramani ya Gotland

Gotland nikisiwa,manispaa na jimbo nchiniUswidi.

Ndiyo kisiwa kikubwa cha kwanza nchini Uswidi na pia ni kisiwa kikubwa chaBahari ya Baltiki.

Kuna wakazi 58,003 (mwaka 2016).Mji mkubwa wa kwanza niVisby.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Eneo lake nikm² 3,183.7. Iko kati yaBahari ya Baltiki.

Mawasiliano

[hariri |hariri chanzo]

Ndege

[hariri |hariri chanzo]

Visby Airport inamilikiwa na Swedavia.Kiwanja cha ndege kikokaskazini kwa Visby.

Wakazi mashuhuri

[hariri |hariri chanzo]

Nyumba ya sanaa

[hariri |hariri chanzo]
  • Jiwa ya Rune ya Torsätra
    Jiwa ya Rune ya Torsätra
  • Mji wa Visby
    Mji wa Visby
  • Ukuta wa mji wa Visby
    Ukuta wa mji wa Visby

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaUswidi bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuGotland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Gotland&oldid=1334876"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp