Gotham City
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Gotham City ni jiji linaloonekana katika gazeti la katuni linalomilikiwa naDC Comics.
Jiji linafahamika zaidi kama ni nyumbani kwaBatman. Mahali pa kuishi pa Batman palitambulishwa kama Gotham City kwenye sehemu ya 4 yaBatman (Winter 1940).