Gliseri wa Antiokia (alifarikiAntiokia, leo nchiniUturuki) alikuwashemasi aliyefiadini yaUkristo wakati wadhuluma yaDola la Roma.
Tangu kale anaheshimiwa naKanisa Katoliki naKanisa la Kiorthodoksi kamamtakatifumfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe14 Januari[1].
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |