Gilgil | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Nakuru |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 35,293 |
Gilgil nimji waKenya,kaunti ya Nakuru katikaBonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Wakazi walikuwa 35,293 wakati wasensa yamwaka2009[1].
Gilgil ni piakata yaeneo bunge la Gilgil[2].
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuGilgil kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |