Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Gerty Cori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerty Theresa Cori mnamo mwaka 1947

Gerty Theresa Cori (15 Agosti 1896 –26 Oktoba1957) alikuwamwanakemia kutoka nchi yaUcheki.

Baada ya kufungandoa na mumeweCarl Corimwaka wa1920, walihamiaMarekani na kupatauraia wa huko mwaka1922.

Pamoja na Carl alichunguzaumetaboli wakabohaidreti katikakiumbehai chawanyama.

Mwaka wa1947, pamoja na mumewe Carl naBernardo Houssay alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuGerty Cori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Gerty_Cori&oldid=1197674"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp