Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Gerd Binnig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerd Binnig (2013)

Gerd Karl Binnig (amezaliwa20 Julai1947) ni mwanafizikia kutoka nchi yaUjerumani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza na kubuni hasa aina mbalimbali zahadubini. Mwaka wa 1986, pamoja naErnst Ruska naHeinrich Rohrer alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuGerd Binnig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Gerd_Binnig&oldid=981758"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp