Gemma Galgani
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Gemma Galgani ni jina fupi laMaria Gemma Umberta Pia Galgani (Borgo Nuovo,Camigliano,12 Machi1878 -Lucca11 Aprili1903),msichanamlei waItalia aliyejitokeza kamaMkristo bora mwenyekarama za pekee.[1] AmeitwaBinti wa Mateso kwa jinsi alivyoshiriki yale yaYesu.[2]
Anaheshimiwa naWakatoliki kamamtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe11 Aprili[3].
Papa Pius XII alimtangazamwenye heri tarehe14 Mei1933 halafu mtakatifu tarehe2 Mei1940.
{{cite book}}
:Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help)![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |