Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Gelawdewos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gelawdewos (takriban1521 au152223 Machi1559) alikuwamfalme mkuu waUhabeshi kuanziatarehe3 Septemba1540 hadikifo chake. AlimfuataDawit II.

Jina lake la kutawala lilikuwaAsnaf Sagad I.Utawala wake ulisumbuliwa hasa navita. Kwanza alimpiga vitaAhmad ibn Ibrahim al-Ghazi aliyeshindwa na kufa katika mapigano yaliyofanyika mahali pa Wayna Daga,21 Februari1543. Halafu alimpiga vitaNur ibn Mujahid aliyevamia Uhabeshi. Kuanzia mwaka wa1557Waturuki walipotwaa mji waMassawa Gelawdewos alipata shida sana. Aliuawa katika mapigano dhidi ya Nur. Aliyemfuata niMenas.

Makala hii kuhusuKaizari fulani waUhabeshi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuGelawdewos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Gelawdewos&oldid=1288238"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp