Gérald Lacroix
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Gérald Cyprien Lacroix ISPX (alizaliwa27 Julai1957) ni kiongozi waKanisa Katoliki kutokaKanada ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Quebec na Primate wa Kanada tangu 2011.
Amekuwa kardinali tangu 22 Februari 2014.
Kabla ya hapo, alikuwa Askofu Msaidizi wa Quebec. Yeye ni mwanachama wa Baraza la Makardinali na Taasisi ya Kisekulari ya Pius X.[1]
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)| Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |