Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Funchal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
KIsiwa Funchal


Funchal nimakao makuu wavisiwa vya Madeira ikiwa kwenyekisiwa kikuu kinachoitwaMadeira pia. Vilevile makao makuu yawilaya ya Funchal. Madeira nifunguvisiwa laKireno katika sehemu yaKiafrika yaAtlantiki.

Maana ya neno "funchal" ni "shamari" - kwa sababu shamari ilipatikana kwa wingi wakati Wareno walipofika kisiwani mara ya kwanza.

Mji una wakazi 45,000; ni zaidi yalakhimoja pamoja namitaa ya nje. Funchal ilikua pamoja nautalii wawatutajiri. Kunachuo kikuu "Universidade da Madeira".

Wilaya ya Funchal ina visiwa vyaPorto Santo,Ilhas Desertas naIlhas Selvagens pamoja na Madeira yenyewe.

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Soko la Mercado dos Lavradores
    Soko la Mercado dos Lavradores
  • Ramani ya wilaya ya Funchal
    Ramani ya wilaya ya Funchal
  • Kisiwa cha Madeira
    Kisiwa cha Madeira
  • Divai ya Madeira katika pipa za ubao
    Divai ya Madeira katika pipa za ubao
  • Kasino
    Kasino
  • Stempu ya 25 reis ya mwaka 1892 iliyotumika 1894
    Stempu ya 25 reis ya mwaka 1892 iliyotumika 1894

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo yaUreno bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuFunchal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Funchal&oldid=1118572"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp