Frances Goodrich
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Frances Goodrich (21 Desemba1890–29 Januari1984) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi yaMarekani. Mwaka wa 1956, pamoja na mume wakeAlbert Hackett, Goodrich alipokeaTuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwatamthiliya yaoThe Diary of Anne Frank.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuFrances Goodrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |