Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Françoise Barré-Sinoussi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Françoise Barré-Sinoussi

Françoise Barré-Sinoussi (amezaliwa30 Julai,1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi yaUfaransa. Hasa alichunguzavirusi visababishavyoukimwi. Mwaka wa2008, pamoja naHarald zur Hausen naLuc Montagnier, alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi waTuzo ya Nobel bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuFrançoise Barré-Sinoussi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Françoise_Barré-Sinoussi&oldid=1119889"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp