Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Fonetiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fonetiki (kutokaKiingereza "Phonetics") nitawi lasayansi yaisimu. Inashughulikiauchunguzi wasauti zalugha zabinadamu, pamoja na utamkaji na usikiaji wake. Kwa ujumla, fonetiki ni tawi la isimu linalochunguza jinsi sauti zinavyozalishwa, zinavyosafirishwa na zinavyomfikia msikilizaji.

Etimolojia yaneno fonetiki imebebadhanambili: foni na etiki. Foni humaanisha sauti, ilihali etiki ni dhana pana kidogo.

Vitamkwa huandikwa kwa kutumiaalfabeti ya kifonetiki ya kimataifa (aukifupi chajina lake kwaKiingereza,International Phonetic Alphabet).

Fonetiki inagawanyika katika:

  • fonetiki akustika
  • fonetiki maabara (au fonetiki majaribio)
  • fonetiki masikizi
  • fonetiki matamshi
  • fonetiki tibamatamshi

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Ya Kiswahili

[hariri |hariri chanzo]
  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha",Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Mengineyo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuFonetiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Fonetiki&oldid=1333515"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp