Firmino wa Mende (karne ya 4 -402) alikuwaaskofu wamjihuo,Galia, leoUfaransa[1].
Tangu kale anaheshimiwa naKanisa Katoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kilamwakatarehe14 Januari[2].
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |