Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Fira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fira
Fira shingo-nyeusi
Fira shingo-nyeusi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda:Serpentes (Nyoka)
Familia:Elapidae (Nyoka walio na mnasaba nafira)
Nusufamilia:Elapinae
Ngazi za chini

Jenasi 6:

Fira,swila aukobra (Unguja) ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wanusufamiliaElapinae katikafamiliaElapidae. Kwa lugha za Ulaya huitwa “cobra” ambalo ni kifupi chacobra de capelo, jina laKireno lamaanishalo “nyoka mwenye ukaya”. Wanaposumbuliwa nyoka hawa hujiinua na kupanua shingo zao kama ishara ya hatari. Spishi kadhaa hutema sumu kwa nguvu na hulenga macho. Sumu hii ikiingia kwa macho isababisha upofu wa muda.

Spishi za Afrika

[hariri |hariri chanzo]

Spishi za Asia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Swila pua-kigao kusi
    Swila pua-kigao kusi
  • Fira koo-baka
    Fira koo-baka
  • Swila-maji milia
    Swila-maji milia
  • Swila milia
    Swila milia
  • Swila mkubwa
    Swila mkubwa
  • Swila wa Mali
    Swila wa Mali
  • Swila-misitu
    Swila-misitu
  • Fira wa Msumbiji
    Fira wa Msumbiji
  • Fira milia
    Fira milia
  • Swila kusi
    Swila kusi
  • Fira mwekundu
    Fira mwekundu
  • Swila-jangwa
    Swila-jangwa
  • Chinese cobra
    Chinese cobra
  • Monocled cobra
    Monocled cobra
  • Indian cobra
    Indian cobra
  • Caspian cobra
    Caspian cobra
  • Philippine cobra
    Philippine cobra
  • Peters's cobra
    Peters's cobra
  • Indochinese spitting cobra
    Indochinese spitting cobra
  • Javan spitting cobra
    Javan spitting cobra
  • Equatorial spitting cobra
    Equatorial spitting cobra
  • King cobra
    King cobra
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Fira&oldid=1207618"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp