Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Visiwa vya Faroe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaFaroe)
Føroyar
Færøerne

Visiwa vya Faroe
Bendera ya Visiwa vya FaroeNembo ya Visiwa vya Faroe
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa: --
Wimbo wa taifa:Tú alfagra land mítt
"We nchi yangu nzuri"
Lokeshen ya Visiwa vya Faroe
Mji mkuuTórshavn
62°00′ N 06°47′ W
Mji mkubwa nchiniTorshavn
Lugha rasmiKifaroe,Kidenmark
Serikalidemokrasia, ufalme wa kikatiba
MfalmeFrederik X wa Denmark
Aksel V. Johannesen
Jimbo la njelaDenmark
Madaraka ya kujitawala

1948
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,399 km² (ya 180)
0.5
Idadi ya watu
 -Desemba 2016 kadirio
 -2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
49,188 (ya 206)
48,346
35.2/km² (ya 169)
FedhaKrona ya Faroe2 (DKK)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
GMT (UTC)
EST (UTC+1)
Intaneti TLD.fo
Kodi ya simu+298

-


Ramani ya Visiwa vya Faroe

Visiwa vya Faroe (kwaKifaroe: Føroyar - "Visiwa vya kondoo") nifunguvisiwa yaAtlantiki yaKaskazini kati yaIceland,Uskoti naNorwei.

Historia

Wakazi wa kwanza walikuwawamonaki kutokaIreland.

Kati ya miaka1035 na1814 visiwa vilikuwa chini ya Norwei. Ndipo vilipotolewa kwaDenmark.

Kufikia mwanzo wa mwaka1540 wakazi walikuwa wamejiunga naMatengenezo ya Kiprotestanti na kuwaWalutheri.

Kuanziamwaka1948 ni jimbo la nje laufalme wa Denmark lenye madaraka ya pekee ya kujitawala. Visiwa vinaendesha shughuli zao isipokuwasiasa ya nje,jeshi na mambo yamahakama ni chini yaserikali kuu. Hali ya kisiasa ndani ya Denmark inalingana naGreenland ambayo pia ni jimbo la nje la Denmark linalojitawala kwa kiwango kikubwa.

Visiwa vya Faroe viliamua kutoingia katikaUmoja wa Ulaya pamoja na Denmark. Kumbe vimeundaumoja wa forodha na Iceland.

Watu

Nyumba zaserikali mjiniTorshavn.
Feri ikiondoka Torshavn

Wakazi wengi wana asili yaSkandinavia upande wababa (87%) na yaWakelti upande wamama (84%).

Lugha rasmi ni Kifaroe,lugha ya Kigermanik ya Kaskazini karibu naKiiceland.

Hadi leo 84.1% za wakazi niWalutheri namadhehebu yao ndiyodini rasmi.

Uchumi

Uchumi wa visiwa unategemea hasauvuvi.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi huru
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
1 nchi yaAsia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu yaUlaya kiutamaduni2nchi ya kimabara
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuVisiwa vya Faroe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Visiwa_vya_Faroe&oldid=1317325"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp