Falsafa (kutokaKigirikiφιλοσοφίαfilosofia = filo,pendo la sofia,hekima) nijaribio la kuelewa na kuelezaulimwengu kwa kutumiaakili inayofuatahoja zamantiki. Kwa hiyo ili kutengeneza falsafa yako kunahitajika kuwa na hoja za msingi, hoja zilizojaa hoja (akili), kisha kuiweka falsafa yako kwa jamii ili waisome na kuielewa. Wapo watakaokubaliana na wewe kulingana na hoja zako na wapo watakaokupinga kutokana na hoja zako vilevile.
Tofauti nadini,imani auitikadi, njia ya falsafa ni mantiki inayoeleza hatua zake ikiwa tayari kuchungulia upya kila hatua iliyochukua. Kwa hiyo falsafa ni njia ya kuuliza maswali na kutafuta majibu.
Katikalugha ya kilasiku neno "falsafa" mara nyingi linachukuliwa kutaja jumla ya mafundisho au imani ya mtu au kundi la watu, kwa mfano "falsafa yachama fulani", "falsafa yamaisha yangu" na kadhalika. Lakini kwa jumla fikra hizo hazistahili kuitwa "falsafa". Ila tu kuna makundi yawanafalsafa wanaopendelea mielekeo tofauti na kuhusu haya inawezekana kutumia neno "falsafa ya fulani" kwa kutaja matokeo ya kazi yao.
Kunambinu nyingi za falsafa zilizoendelea kulingana namazingira yautamaduni ambako wanafalsafa waliishi. Mara nyingi falsafa imeendelea karibu na dini, ndani ya dini au kwa mchanganyiko na dini mbalimbali.
Lakini falsafa inachunguza pia matamko ya dini na kuuliza maswali juu ya maana ya matamko haya.
Oizerman, Teodor (1973).Problems of the History of Philosophy. translated from Russian by Robert Daglish (tol.la1st).Moscow:Progress Publishers. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 6 Julai 2011. Iliwekwa mnamo20 Januari 2011First published in Russian as «Проблемы историко-философской науки»{{cite book}}:Cite has empty unknown parameters:|laydate=,|separator=,|nopp=,|trans_title=,|trans_chapter=,|laysummary=,|chapterurl=,|authormask=, na|lastauthoramp= (help);Unknown parameter|deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: postscript (link)
Ya kale
Knight, Kelvin.Aristotelian Philosophy: Ethics and Politics from Aristotle to MacIntyre.ISBN978-0-7456-1977-4
Karne za kati
The Phenomenology Reader by Dermot Moran, Timothy Mooney
Kim, J. and Ernest Sosa, Ed. (1999).Metaphysics: An Anthology. Blackwell Philosophy Anthologies. Oxford, Blackwell Publishers Ltd.
Bullock, Alan, R. B. Woodings, and John Cumming,eds.The Fontana Dictionary of Modern Thinkers, in series,Fontana Original[s]. Hammersmith, Eng.: Fontana Press, 1992, cop. 1983. xxv, 867 p.ISBN978-0-00-636965-3
The Cambridge Dictionary of Philosophy by Robert Audi
The Routledge Encyclopedia of Philosophy (10 vols.) edited by Edward Craig,Luciano Floridi (available online by subscription); or
The Concise Routledge Encyclopedia of Philosophy edited by Edward Craig (an abridgement)
Edwards, Paul, mhr. (1967).The Encyclopedia of Philosophy. Macmillan & Free Press.{{cite book}}:Unknown parameter|editorlink= ignored (|editor-link= suggested) (help); in 1996, a ninth supplemental volume appeared that updated the classic 1967 encyclopedia.
Popkin, R.H. (1999).The Columbia History of Western Philosophy. New York, Columbia University Press.
Bullock, Alan, and Oliver Stallybrass,jt. eds.The Harper Dictionary of Modern Thought. New York: Harper & Row, 1977. xix, 684 p.N.B.: "First published in England under the title,The Fontana Dictionary of Modern Thought."ISBN978-0-06-010578-5
Reese, W. L.Dictionary of Philosophy and Religion: Eastern and Western Thought. Atlantic Highlands, N.J.: Humanities Press, 1980. iv, 644 p.ISBN978-0-391-00688-1