Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Etihad Airways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Etihad Airways (Kiarabu:الإتحاد,ʼal-ʻitiħād) ni ndege kuu yamji waAbu Dhabi iliyoanzishwa mnamo 2003.

Inasafiri nchiniMashariki ya Kati,Ulaya,India, Amerika Kaskazini,Afrika,Asia naAustralia. Makao yake makuu ni katika uwanja wa ndege wa kimataifa ya Abu Dhabi. Mwaka wa 2008, ilibeba wasafiriwa zaidi yamilioni sita.

Historia

[hariri |hariri chanzo]
Etihad AirwaysAirbus A340-500 ikiruka kutoka uwanja wa ndege wa London Heathrow

Etihad Airways ilitangazwa na Sheikh Khalifa in Zayed Al Nahyan kuwa ni ndege ya kitaifa ya nchi yaUnited Arab Emirates mnamo Februari 2003. Pesa za kuanzia kampuni hii ilikuwa takriban dirhamu milioni 500. Mnamo 12 Novemba 2003 Etihad ilianza kusafiri hadi mji waBeirut.

Miji inayosafiria

[hariri |hariri chanzo]

Afrika

[hariri |hariri chanzo]

Asia

[hariri |hariri chanzo]
Etihad AirwaysAirbus A330-200 (A6-EYB) ikishuka kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow
EtihadAirbus A330-200 kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt

Uropa

[hariri |hariri chanzo]

Amerika Kaskazini

[hariri |hariri chanzo]

Oceania

[hariri |hariri chanzo]

Ndani ya ndege

[hariri |hariri chanzo]

Diamond Zone

[hariri |hariri chanzo]

Viti vyake huweza kugeuzwa na kuwa kama kitanda cha urefu wa 6'8". Kuna taa ya kusomea, runinga, kioo, na hata chombo cha kukandia mwili.

Pearl Zone

[hariri |hariri chanzo]

Viti huweza kulazwa kama vitanda vya urefu wa 6'1". Kila kiti kina taa ya kusomea pamoja na chombo cha kukandia.

Coral Zone

[hariri |hariri chanzo]

Viti huweza kulazwa hadi inchi 33 tu. Kuna huduma ya simu pia.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. 12Two Japan destinations to launch in first quarter 2010
  2. Etihad Crystal Cargo service to Baghdad

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Etihad_Airways&oldid=1475167"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp