Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Eta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa1Ν ν Ni50
Β β Beta2Ξ ξ Ksi60
Γ γ Gamma3Ο ο Omikron70
Δ δ Delta4Π π Pai80
Ε ε Epsilon5Ρ ρ Rho100
Ζ ζ Dzeta7Σ σ ς Sigma200
Η η Eta8Τ τ Tau300
Θ θ Theta9Υ υ Ipsilon400
Ι ι Iota10Φ φ Phi500
Κ κ Kappa20Χ χ Khi600
Λλ Lambda30Ψ ψ Psi700
Μ μ Mi40Ω ω Omega800
Herufi za kihistoria1
Digamma6San90
Stigma6Koppa90
Heta8Sampi900
Yot10Sho900
1 Viungo vya nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_nje

Eta niherufi yasaba katikaAlfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kamaη (alama ya kawaida) auΗ (alama kubwa). Zamani zaKigiriki cha Kale ilikuwa piatarakimu, ikiwa alama yanamba 8.

Asili ya Eta ni herufi yaKifinisia ya Heth (tazama makala yaH).Matamshi yake ya awali yalikuwa "h" na kwa maana hiyo alama iliingia katikaalfabeti ya Kietruski naya Kilatini. Ndani ya Kigiriki chenyewesauti ya "h" ilipotea kwa muda na alama ilibaki kama "eta" ikimaanisha sauti ya aina ya "e".

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, eta inatumiwa kama kifupisho kwa ajili yadhana mbalimbali katikahesabu nafizikia.

Katika fizikia eta ni alama kwamesoni ambayo ni kipande kidogo chaatomi.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Eta&oldid=1369740"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp