Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Estonia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eesti Vabariik
Jamhuri ya Estonia
Bendera ya EstoniaNembo ya Estonia
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa: --
Wimbo wa taifa:Mu isamaa, mu õnn ja rõõm
Lokeshen ya Estonia
Mji mkuuTallinn
59°26 N 24°45 E
Mji mkubwa nchiniTallinn
Lugha rasmiKiestonia
Serikalidemokrasia
Kersti Kaljulaid
Kaja Kallas
Uhuru
Ilitangazwa
ilikubaliwa
Ilitwaliwa na Urusi
Ilitangazwa tena
ilikamilika

24 Februari1918
2 Februari1920
16 Juni1940
20 Agosti1991
6 Septemba1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
45,100 km² (ya 13)
4.56%
Idadi ya watu
 -2014 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
1,315,819 (ya 154)
29/km² (ya 173)
FedhaEuro (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD.ee1
Kodi ya simu+372

-


Ramani ya Estonia

Estonia (kwaKiestonia:Eesti auEesti Vabariik) ninchi ya Kibalti katikaUlaya ya Kaskazini. Imepakana naLatvia naUrusi.

Finland iko ng'ambo yaKidaka cha Ufini chaBahari ya Baltiki na watu wake wana asili moja naWaestonia.

Mji mkuu niTallinn unaojulikana pia kwa jina laReval.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini yaWajerumani,Wadani naWaswidi, halafu sehemu yaDola la Urusi.

Katika miaka1918-1940 ilikuwajamhuri halafu miaka 1940-1991 mwanachama waUmoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Estonia ilijitangazanchi huru.

Estonia imekuwa nchi mwanachama yaUmoja wa Ulaya tangu tarehe1 Mei2004.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Lugha rasmi niKiestonia ambacho nilugha mama ya 69.1% ya wakazi na karibu sana naKifini. Kariburobo husemaKirusi.

Upande wadini, kadiri yasensa ya mwaka2011, 54.14% hawana yoyote.WakristoWaorthodoksi ni 16.5%,Walutheri ni 9.91%, mbali yamadhehebu mengine yasiyofikia pekepeke 1%.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]


Nchi zaUmoja wa UlayaBendera ya Umoja wa Ulaya
Austria |Bulgaria |Eire |Estonia |Hispania |Hungaria |Italia |Kroatia |Kupro |Latvia |Lituanya |Luxemburg |Malta |Polandi |Slovakia |Slovenia |Romania |Ubelgiji |Ucheki |Udeni |Ufaransa |Ufini |Ugiriki |Uholanzi |Ujerumani |Ureno |Uswidi
Nchi huru
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
1 nchi yaAsia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu yaUlaya kiutamaduni2nchi ya kimabara
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuEstonia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Estonia&oldid=1454738"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp