Erasto wa Korintho | |
---|---|
![]() Erastus na wenzake Olympus, Rhodion, Sosipater, Quartus na Tertius Menologion ya Basili | |
Feast |
Erasto wa Korintho (kwaKigiriki: Ἔραστος,Erastos) niMyahudi wakarne ya 1 mwenyecheo kikubwa kamamtunzahazina wamji waKorintho (Ugiriki)[1] anayejulikana hasa kutokana naMatendo ya Mitume (19.22) naBarua zaMtume Paulo (Rom 16:23;2Tim 4:20) kwa sababu ya kujiunga naUkristo na kushirikiana naye[2].
Anaheshimiwa namadhehebu mbalimbali yaUkristo kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe26 Julai[3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) abbreviated forERASTUS PRO AEDILITATE SUA PECUNIA STRAVIT.) Some New Testament scholars have identified this aedile Erastus with the Erastus mentioned in the Epistle to the Romans but this is disputed by others. This debate has implications relating to the social status of the members of the Pauline churches.Friesen, Steven (Januari 2007)."The Wrong Erastus: Status, Wealth, and Paul's Churches".Corinth in Context. Institute for the Study of Antiquity and Christian Origins. Iliwekwa mnamo18 Mei 2012.Thus the Erastus inscription soon became a linchpin in 20th century reconstructions of the social status of Pauline Christianity. Unfortunately, the inscription was incorrectly published and the identification of the two Erastus references is wrong.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Abstract Only.Gill, David W. J. (1989). "Erastus The Aedile".Tyndale Bulletin.40: 298.![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |