Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Emiliani wa Valence

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emiliani wa Valence (alifarikiValence, leo nchiniUfaransa, mwishoni mwakarne ya 4) alikuwaaskofu wa kwanza wamji huo[1] .

Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu[2] .

Sikukuu yake huadhimishwatarehe13 Septemba[3].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70140
  2. Duchesne,Fastes épiscopaux…, vol. I, pp. 216-217.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Emiliani_wa_Valence&oldid=1336237"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp