Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Emilia Clarke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emilia Clarke

Emilia Clarke Dior
Amezaliwa23 Oktoba1986
Kazi yakemwigizaji wafilamu Mwingereza.

Emilia Clarke (alizaliwaLondon,Uingereza,23 Oktoba1986) nimwigizaji wafilamu Mwingereza.

Alicheza kamaSarah Connor katikafilamu yaTerminator Genisys. Pia nimhusika katika filamu yaGame of Thrones, Clarke anajulikana katika filamu hiyo kamaDaenerys Targaryen.

Kwa uigizaji wake alipokeatuzo yaEmmy Award nomination katika mfululizo watamthiliya mwaka2013. Alipokea tena tuzo hiyo mwaka2015.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuEmilia Clarke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Emilia_Clarke&oldid=1333623"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp