Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ellesmere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellesmere Island na visiwa vya jirani vikiwemoAxel Heiberg (kushoto) naGreenland (kulia).

Ellesmere (jina laKifaransa; kwaKiinuit:Umingmak Nuna) nikisiwa kikubwa cha eneo lakaskazini mwaNunavut (Kanada).

Kinapatikana katikaBahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wakilometa mraba 196,235, ila wakazi 191 tu. Ni kisiwa kikubwa chaVisiwa vya Malkia Elizabeth.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaKanada bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuEllesmere kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ellesmere&oldid=1093114"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp