Elia Speleota (Reggio Calabria,Italia Kusini,863 hivi - Reggio Calabria,11 Septemba960 hivi) alikuwaMkristowa Mashariki aliyekimbiafamilia yaketajiri ili asilazimishwekuoa.
Baada ya kufanyatoba hukoSicilia, karibu naRoma akawammonaki waKibazili. Baada ya kwendaUgiriki alirudi tena kwao kuishipangoni pamoja na wenzake wachache. Hivyo alishikamaisha yaukaapweke na ya kijumuia vilevile[1].
Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe11 Septemba[2].
- ↑https://www.santiebeati.it/dettaglio/92059
- ↑Martyrologium Romanum
- La Nobiltà reggina antica e moderna fino al 1758 (Luigi Manzi):famiglia Laboccetta
- Paolo Martino,S. Elia Speleota e il santuario delle Grotte presso Melicuccà, Edizioni Officina Grafica, Villa San Giovanni, 2000, pp.127.
- Giuseppe Antonio Martino,Il cenobio italo-greco di S. Elia Speleota a Melicuccà, in "Helios Magazine", Rivista di scienze, cultura e società, anno IV – 1999- nr.
- Vera Falkenhausen, ELIA lo Speleota, santo, in Dizionario biografico degli italiani, vol. 42, Roma, Istituto dell'Enciclopedia Italiana, 1993.
- Francesco Stilo,La grotta eremitica di S. Elia lo Speleota, in Bertocci S, Parrinello S.,Architettura eremitica, sistemi progettuali e paesaggi culturali, atti del V convegno internazionale di studi, Edifir Edizioni, Firenze, 2020, pp. 41-45.
 | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |