Eleuteri nijina la kiume. Pengine linaandikwa kifupi kwa kuacha herufi ya kwanza: Leuteri, au kwa kufuata matamshi yaKiingereza: Eliuta.
Mwanamke anaweza kuitwa: Eleuteria.
Linatokana na jina lalugha yaKigirikiEleutherios, linalofuatakivumishieleutheros: huru. KwaKilatini niEleutherius.
Kati ya watu walioitwa hivi, maarufu zaidi niPapa Eleuteri, anayeheshimiwa kamamtakatifu hasa tarehe26 Mei. Lakini kuwa watakatifu wengine 10 wenye jina hilo, mbali na watu wengine wengi.
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari. |