Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ekuador

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
República del Ecuador
Jamhuri ya Ekuador
Bendera ya EkuadorNembo ya Ekuador
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa:Kihispania:"Dios, patria y libertad"
("Mungu, taifa na uhuru")
Wimbo wa taifa:Salve, Oh Patria(usalimiwe e taifa)
Lokeshen ya Ekuador
Mji mkuuQuito
00°9 S 78°21 W
Mji mkubwa nchiniGuayaquil
Lugha rasmiKihispania
SerikaliJamhuri
Daniel Noboa
Uhuru
KutokaHispania
kutokaGran Colombia

24 Mei1822
13 Mei1830
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
283,560 km² (ya 75)
5
Idadi ya watu
 -2023 kadirio
 -2022 sensa
 - Msongamano wa watu
 
17,483,326[1] (ya 73)
16,938,986[2]
69/km² (ya 148)
FedhaU.S. dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-5;UTC -6 (Galápagos Islands))
(UTC)
Intaneti TLD.ec
Kodi ya simu+593

-


Ramani ya Ekuador

Ekuador (kwaKiswahili pia:Ekwado) ni nchi kwenye pwani yamagharibi yaAmerika Kusini.

Jina la nchi kwaKihispania (Ecuador) lamaanisha "ikweta", na sababu ni kwamba imekatwa nayo.

Imepakana naKolombia,Peru naBahari ya Pasifiki.

Funguvisiwa laGalapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa naumbali wa karibukilomita 1,000 kutokabara.

Mji mkuu niQuito, lakinimji mkubwa zaidi niGuayaquil.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Wananchi wengi (71%) wana mchanganyiko wadamu yaKizungu na ya Kiindio. Wenye asili yaAfrika ni 7.2%,Waindio ni 7%, na Wazungu ni 6.1%.

Ekuador ilikuwakoloni laHispania, hivyolugha ya wakazi wengi nalugha rasmi imekuwaKihispania hadi leo. Lakini kuna Waindio wengi, hasa katikamilima yaAndes, wanaoendelea kutumia lugha zao.

Asilimia 91.95 wanadini, na kati yao 80.44% niWakatoliki ma 11.3%Waprotestanti.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo yaAmerika Kusini

Argentina |Bolivia |Brazil |Chile |Ekuador |Guyana |Guyani ya Kifaransa |Kolombia |Paraguay |Peru |Surinam |Uruguay |Venezuela

Makala hii kuhusu maeneo yaAmerika Kusini bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuEkuador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
  1. "Ecuador".The World Factbook (kwa Kiingereza) (tol. la 2025).Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo22 Juni 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) (Archived 2023 edition)
  2. "Inicio".www.ecuadorencifras.gob.ec.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ekuador&oldid=1309183"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp