Edmond Tapsoba
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine

Edmond Fayçal Tapsoba (alizaliwa2 Februari1999)[1] ni mchezaji wampira wa miguu kutokaBurkina Faso, ambaye anacheza kamabeki katika klabu yaBayer 04 Leverkusen inayoshirikiBundesliga yaUjerumani natimu ya taifa yaBurkina Faso.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuEdmond Tapsoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |