Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Duke Ellington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Duke Ellington

Duke Ellington (29 Aprili189924 Mei1974) alikuwamwanamuziki waMarekani. Jina lake la kuzaliwa ni Edward Kennedy Ellington. Alikuwa anapiga muziki waJazz. Mwaka wa 1999 alituzwa tuzo maalumu yaTuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa kazi ya maisha yake, yaani baada yakifo chake.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuDuke Ellington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Duke_Ellington&oldid=1313027"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp