Dschinghis Khan[1] (kwa chi nyingine inafahamika kama[2]Genghis Khan)[3][4] nibendi yapop ya disco yaUjerumani baraniUlaya. Iliundwa hukoMunich mnamo 1979 kushiriki kwenye Mashindano ya Wimbo wa Eurovision na wimbo wao "Dschinghis Khan".
Mnamo mwaka 2018, kumekuwa na vikundi viwili: vilivyoongozwa na washiriki wa asiliHenriette Strobel naEdina Pop, na kundi la sasa zaidi lililoongozwa na mwanachama wa asiliWolfgang Heichel naStefan Track, ambao walichukua nafasi ya marehemuLouis Potgieter katika tamasha la kuungana tena mwaka 2005 .
Kuanzia: 1970- 1980s
Bendi iliundwa na kusimamiwa na mtayarishaji waUjerumaniRalph Siegel. Wimbo wao wa asili uliojulikana uliandikwa na kutayarishwa naRalph Siegel na maneno yaBernd Meinunger na alikuja katika nafasi ya nne kwenye Mashindano ya Wimbo waEurovision mnamo mwaka 1979 hukoJerusalem.
Wajerumani wa asili katika kikundi hicho walikuwaKarl-Heinz "Steve", naWolfgang Heichel, ambaye alimleta mkewe mzaliwa waUholanzi Henriette (née Strobel) naye kwenye tamasha hilo.Louis Hendrik Potgieter (Genghis Khan) alikuwa ni mzawa waAfrika ya Kusini.Edina Pop (Marika Késmárky) alikuwaMhungari ambaye alikuwa ameanza kazi yake ya uimbaji hukoUjerumani Magharibi mnamo 1969.Leslie Mándoki, ambaye pia niMhungari, alikuwa ameondoka Hungary mnamo mwaka 1975.