Donovan Mitchell
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Donovan Mitchell Jr. (amezaliwa Septemba 7, 1996) nimchezaji wampira wa kikapu wa kulipwa nchiniMarekani wa timu yaCleveland Cavaliers waChama cha mpira wa Kikapu Marekani (NBA). Jina lautani "Spida",[1] alichaguliwa katika raundi ya kwanza ya drafti ya Chama cha mpira wa kikapu Marekani mwaka2017 na kusajiliwa na timu yaUtah Jazz, ambayo aliichezea kutoka 2017 hadi2022. Yeye niAll-Star wa Chama cha mpira wa kikapu Marekani mara tano.