Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Domagoj Vida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Domagoj Vida (2013)

Domagoj Vida (alizaliwa29 Aprili1989) nimchezaji wampira wa miguu waKroatia ambaye anacheza kamamlinzi waklabu yaUturuki yaBeşiktaş natimu ya taifa yaKroatia. Ana uwezo wa kucheza katika nafasi yoyote ya nyuma au pembeni.

Baba yakeRudika ni mchezaji wasoka wa zamani wa timu yaKroatia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuDomagoj Vida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Domagoj_Vida&oldid=1347663"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp