Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Dogma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dogma nineno linalotumika hasa kumaanisha fundisho laimani lisiloweza kukanushwa na wafuasi wadini fulani. Linaweza kutumika pia kwa maana isiyo ya kidini.

Asili ya neno

[hariri |hariri chanzo]

Neno laKigirikiδογμα,dògma, linatokana nakitenziδοκω,doko. Maana zake zilikuwatatu:

1. rai;

2. wazo, fundisho lafalsafa au dini;

3. uamuzi, tamko.

Katika Kanisa Katoliki

[hariri |hariri chanzo]

"Dogma ya imani" inamaanisha tamko lililotolewa naMtaguso Mkuu auPapa kwa niaba yamaaskofu wote kumaliziamjadala kuhusu fundisho fulani baada ya kuthibitishaufunuo waMungu unasema nini juu ya hilo.

Baada ya hapo, mwamini anayekataa dogma anahesabiwa kuwamzushi na kutengwa naKanisa Katoliki.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Dogma&oldid=1010548"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp