Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Diodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diodi mbalimbali

Diodi ni kijenzi au kiambajengo elektroniki muhimu. Inafanya kazi kamavalvu ya umeme ikiruhusu mkondo wa umeme kutiririka kuelekea upande mmoja tu.

Diodi hutumiwa kubadilishamkondo geu (AC) kuwamkondo mnyovu (DC). Zinapatikana mara nyingi katika mitambo ya kutolea umeme kama vile ugawi wa umeme wa kompyuta. Kwa ndani vijenzi vya kompyuta hutumia mkondo mnyofu lakini umeme kutoka nje ni mkondo geu unaohitaji kubadilishwa, kazi inayofanya na diodo katika ugawi wa umeme.[1][2][3]]]

Siku hizi diodi hutumiwa zaidi na zaidi kwa umbo ladiodi itoayo nuru (LED) ambazo siku hizi zinatumiwa katikataa kwa matumizi kidogo cha nishati kuliko taa za kawaida.

Siku hizi diodi hutengenezwa kwa kutumia dutu za nusu kipitishi(ing. semiconductor) kama vilesilikoni augermani.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Tooley, Mike (2013).Electronic Circuits: Fundamentals and Applications, 3rd Ed. Routledge. uk. 81.ISBN 978-1-136-40731-4.
  2. Crecraft, Filip Mincic; Stephen Gergely (2002).Analog Electronics: Circuits, Systems and Signal Processing. Butterworth-Heinemann. uk. 110.ISBN 0-7506-5095-8.
  3. Horowitz, Paul; Winfield Hill (1989).The Art of Electronics, 2nd Ed. London: Cambridge University Press. uk. 44.ISBN 0-521-37095-7.
Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Diodi&oldid=1271113"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp